20.07.2019 - Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 20.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

20.07.2019 - Matangazo ya Jioni

Ujerumani na Ufaransa zaitaka Iran kuiachia meli ya Uingereza iliyoikamata. Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani na Uturuki wafanya mazungumzo kwa njia ya simu. Leo ni miaka 50 tangu binadamu wa kwanza alipokanyaga Mwezini.

Sikiliza sauti 60:00