Siasa20.04.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaV2 / S12S20.04.202020 Aprili 2020Idadi ya maambukzii ya virusi vya corona imepindukia visa milioni 2 na laki 3 duniani. Raisi wa Brazil ashiriki maandamano ya kupinga vizuizi dhidi ya virusi vya corona. Watu 16 wauwawa kwenye shambulizi la bunduki nchini Canada.https://p.dw.com/p/3b9dsMatangazo