1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.12.2020 - Matangazo ya mchana

19 Desemba 2020

Marekani imeidhinisha chanjo ya pili ya virusi vya corona kuanza kutumika kwa dharura. Armenia inafanya maombolezo ya siku tatu kuwaenzi wahanga wa mapigano na Azerbaijan. Viongozi wa makundi makubwa matatu ya waasi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wametangaza kuunda muungano.

https://p.dw.com/p/3mx90