18.01.2020 - Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 18.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.01.2020 - Matangazo ya Jioni

Rais wa Uturuki ameyatolea wito mataifa ya Ulaya kuiunga mkono serikali ya mjini Tripoli nchini Libya. China imethibitisha visa vipya vya kirusi kinachosababisha homa ya mapafu. Iran imetangaza kupeleka visanduku vya ndege iliyodunguliwa nchini Ukraine.

Sikiliza sauti 60:00