1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2019 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S10 Agosti 2019

Korea Kaskazini yafyetua makombora mawili wakati mazoezi ya kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini yakiendelea. Polisi ya India yakabiliana na waandamanaji kwenye jimbo lenye mzozo la Kashmir. Shirika la Fedha la Kimataifa limesema uchumi wa china unadorora kutokana na vita vya kibiashara

https://p.dw.com/p/3NgmZ