1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.01.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S10 Januari 2020

Rais wa Ukraine ametoa wito wa kutolewa taarifa zaidi kuhusu ajali ya ndege nchini Iran. Bunge la Marekani limepitisha azimio la kuzuia hatua za kijeshi dhidi ya Iran. Maelfu ya wafanyakazi wameandamana nchini Ufaransa kupinga mageuzi ya mfumo wa Pensheni

https://p.dw.com/p/3Vy85