Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe | Matukio ya Kisiasa | DW | 24.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe

Mbunge wa ACT Wazalendo amemsifu Rais wa Tanzania John Magufuli kwa maamuzi ya aliyoyachukua baada ya kuchaguliwa. Hata hivyo ametaka bunge limdhibiti kwani hana maamlaka ya kufanya maamuzi pekee yake.

Sikiliza sauti 18:43

Sikiliza mahojiano kati ya Mohammed Khelef na Zitto Kabwe

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com