Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi kujiuzulu. | Media Center | DW | 05.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi kujiuzulu.

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi atangaza kujiuzulu baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba, Mahakama kuu ya Uingereza inasikiliza ombi la serikali ya kutaka kuendeleza mchakato wa BREXIT na Upinzani nchini Ghana wakosoa demokrasia nchini humo.

Tazama vidio 02:01
Sasa moja kwa moja
dakika (0)