Watanzania wachangamkia tiba ya ″nyungu″. | Media Center | DW | 11.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watanzania wachangamkia tiba ya "nyungu".

Ni mwendo wa Kupiga Nyungu." Ndio lugha maarufu kwenye mitaa mingi nchini Tanzania, ikimaanisha tiba asilia ya kuufukiza mwili kwa mvuke wa majani na magome ya miti sambamba na mimea asilia. Ni tiba iliyo sahaulika kwa miaka mingi na kuibuka kwa virusi hatari vya corona. #Kurunzi

Tazama vidio 02:56