1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini

21 Machi 2024

Wanaharakati wanaopambana na maovu ya ulaji rushwa kupitia majukwaa ya mitandao nchini Uganda wanahofia maisha yao kufuatia vitisho na mashambulio yanayodaiwa kufanywa na vyombo vya dola. Kulingana na wanaharakati hao, kuna watu wanaowaandama kila wanakokwenda na hata marafiki zao wa karibu kuulizwa kuhusu ratiba zao. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4dzHp