You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Tetemeko la ardhi Uturuki-Syria
Mzozo wa Ukraine
Miaka 60 ya DW Kiswahili
Lubega Emmanuel
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Lubega Emmanuel
Taarifa na Lubega Emmanuel
Vijana na Uongozi - MCI yanoa vijana chipukizi
Vijana na Uongozi - MCI yanoa vijana chipukizi
Sikiliza kuhusu vijana nchini Uganda walioanzisha mpango wa Media Challenge Initiative MCI ili kuwasaidia vijana wenzao kujitambua wanapoingia kwenye tasnia ya uandishi wa habari, ni makala iliyoandalia na mwandishi wa DW huko Kampala Emmanuel Lubega.
Museveni azungumza na Zelensky kwa njia ya simu
Museveni azungumza na Zelensky kwa njia ya simu
Uganda ni mojawapo ya mataifa yaliyojizuia kupiga kura ya kuilaani Urusi kwa vita hivyo kwenye kikao cha Umoja Mataifa
Mbunge wa Ujerumani aukosoa mradi wa EACOP
Mbunge wa Ujerumani aukosoa mradi wa EACOP
Mbunge wa Ujerumani ukosoa mradi wa EACOP siku moja baada ya Tanzania kuidhinisha rasmi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi.
Uganda:Mmoja afariki kwa tetemeko Uturuki
Uganda:Mmoja afariki kwa tetemeko Uturuki
Uganda imethibiisha kifo cha raia wake mmoja katika kisa cha tetemeko la ardhi nchini Uturuki.
WHO: Hakuna tena Ebola Uganda
WHO: Hakuna tena Ebola Uganda
Hatimaye Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Ebola Uganda baada ya miezi minne ya wasiwasi miongoni mwa raia wa nchi hiyo na mataifa jirani ya Afrika Mashariki. Hadi watu 55 akiwemo daktari mmoja kutoka Tanzania walifariki kutokana na ugonjwa huo ambao matibabu yake bado ni changamoto kwa wataalamu wa afya na wanasayansi. Msikiize Lubega Emmanuel..
Uganda yashuhudia vifo zaidi ya 100 vya ajali za barabarani.
Uganda yashuhudia vifo zaidi ya 100 vya ajali za barabarani.
Ajali za barabarani zimeibua malalamiko kutoka kwa raia wanaosema hatua madhubuti hazijachukuliwa kudhibiti tatizo hilo.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo