Wanaharakati Tanzania wataka mabadiliko katika utaratibu wa uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW | 09.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wanaharakati Tanzania wataka mabadiliko katika utaratibu wa uchaguzi

Kesi ya kikatiba inayopinga wakurugenzi wa manispaa na wateule wa rais kusimamia uchaguzi, ambayo imefunguliwa na kundi la wanaharakati na kuongozwa na wakili Fatma Karume, imetajwa leo katika Mahakama Kuu Tanzania.

Sikiliza sauti 02:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na wakili Fatma Karume

Kesi hiyo ilifunguliwa rasmi tarehe 27 Februari. DW imezungumza na wakili Fatma Karume na kwanza kuuliza kipi kilichowafikisha asubuhi ya leo katika ofisi ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com