1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Wakimbizi wa Sudan wakumbuka vita kupitia sanaa

19 Aprili 2024

Wasanii wa Sudan ambao walikimbilia Uganda kutokana na vita vinyoendelea nchini mwao, wamefanya maonyesho ya Sanaa kukumbuka mwaka mmoja tangu kuzuka kwa vita hivyo. Miongoni mwa kazi zilizoonyeshwa ni picha zinazoelezea matukio ya vita. Lubega Emmanuel alihudhuria maonyesho hayo na kututumia video hii. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4ezRe