1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa Nyarugusu walia na njaa

Lilian Mtono
1 Februari 2018

Njaa, njaa, njaa….Umekuwa kama wimbo sasa kwa wakimbizi wanaotoka DRC na Burundi waliopewa hifadhi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma, nchini Tanzania. Ni kwa kiasi gani wameathirika na tatizo hili? Sikiliza Makala yetu Leo.

https://p.dw.com/p/2rsvf