Wakazi wa Kigoma wazungumzia chanjo | Matukio ya Afrika | DW | 30.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wakazi wa Kigoma wazungumzia chanjo

Siku chache baada ya Tanzania kuzindua huduma ya utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya Corona, wakazi wa mkoa wa Kigoma pamoja na wakimbizi wametoa maoni yao wakipongeza hatua hiyo. Mwandishi wetu Prosper Kwigize alituandaliwa ripoti hii kutoka Kigoma Magharibi mwa Tanzania.

Sikiliza sauti 02:44