Wafugaji watakiwa kuondoka maeneo ya hifadhi | Masuala ya Jamii | DW | 06.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Tanzania

Wafugaji watakiwa kuondoka maeneo ya hifadhi

Waziri wa Utalii na Maliasili, Jumanne Maghembe, amewataka wafugaji wanaolisha mifugo yao katika misitu na hifadhi za taifa kuacha kufanya hivyo mara moja, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Sikiliza sauti 03:12

Mahojiano na Emmanuel Ole Shangai

DW imezungumza na Emmanuel Ole Shangai, diwani wa kata ya Endulen Ngorongoro, eneo ambalo limeshuhudia mzozo wa muda mrefu kati ya serikali na wafugaji hao wa kuhama hama wa jamii ya Wamasai na kwanza anaelezea wamepokea vipi agizo hilo la serikali.
 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com