1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachoraji nao wamo kwenye vita dhidi ya corona

14 Aprili 2020

Virusi vya corona bado ni tishio kwa dunia. Kila pembe ya dunia tayari inafanya juhudi za kukabiliana na ugonjwa unaosambazwa na virusi hivyo. Na nchini Tanzania, kundi linalotumia sanaa ya uchoraji nalo halijajitenga na vita hivi, ni kwa namna gani? tazama video hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3au21