Wachimbaji waliookolewa baada ya siku 41 | Masuala ya Jamii | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wachimbaji waliookolewa baada ya siku 41

Wachimbaji watano wadogo wadogo wa dhahabu waliokolewa kutoka mgodini Nyangarata baada ya kufukiwa na kukaa huko kwa siku 41. Hawakukata tamaa, licha ya kukosa chakula na maji na mmoja wao kufariki.

Sikiliza sauti 09:48

Veronica Natalis katika Makala Yetu Leo

Joseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica Natalis

Joseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica Natalis

Duara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodi

Duara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodi

Nyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa Nyangarata

Nyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa Nyangarata

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com