1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchimbaji madini

Makampuni ya madini yamekuwa yakipambana na kushuka kwa bei za bidhaa kulikoambatana na kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa China.

Hisa za masoko ya madini zilishuhudia ufufukaji kidogo tu baada ya uamuzi wa Benki Kuu ya Ulaya Machi 10, 2016 juu ya hatua za ziada za kuchochea uchumi katika kanda ya sarafu ya Euro. Ukurasa huu unakusanya maudhui za karibuni za DW kuhusu sekta ya uchimbaji madini.

Onesha makala zaidi