Wachimba dhahabu wadogo wadogo21.02.201321 Februari 2013Wakia milioni 36 za dhahabu: Tanzania inakalia hazina yenye thamani ya mabilioni ya dola. Kwa gramu chache za dhabu watu wanahatarisha maisha katika kijiji cha Kewanja kinachotaka kufaidika na neema hiyo.https://p.dw.com/p/17ibHMatangazo