Wabunge 8 washtakiwa Kenya kwa matamshi ya uchochezi | Anza | DW | 17.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Wabunge 8 washtakiwa Kenya kwa matamshi ya uchochezi

Wabunge 8 Kenya wafunguliwa mashtaka ya uchochezi. Uingereza yaomboleza kifo cha mbunge Jo Cox aliyeuawa. Rais Obama awafariji waathiriwa wa shambulio la Orlando na katika dimba la Ubingwa wa Ulaya, England yaicharaza Wales mabao 2-0. Papo kwa Papo 17.06.2016.

Tazama vidio 01:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)