Vita dhidi ya utamaduni wa kuwakeketa wasichana katika jamii ya Wamaasai | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Vita dhidi ya utamaduni wa kuwakeketa wasichana katika jamii ya Wamaasai

Ukeketaji umesalia kuwa kati ya tamaduni zinazowasababishia wasichana wengi changamoto za kiafya ikiwemo kifo. Ajabu ni kwamba katika baadhi ya jamii, utamaduni huo ungali unaenziwa. Mshindi wa zamani wa urembo nchini Tanzania Diana Edward Lukumai anatumia umaarufu wake kuukomesha utamaduni huo.

Tazama vidio 02:33