Viongozi wa Umoja wa Ulaya waafikiana kuhusu uhamiaji | Media Center | DW | 29.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Viongozi wa Umoja wa Ulaya waafikiana kuhusu uhamiaji

Viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimaye wamefikia makubaliano juu ya mpango mgumu wa uhamiaji, unaozitaka nchi wanachama kwa hiari kuanzisha vituo vya udhibiti katika ardhi yake vya kushughulikia wahamiaji waliookolewa baharini wakati pia wakichunguza uwezekano wa kufungua vituo nje ya Ulaya.

Tazama vidio 01:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)