Vijana wajadili uwokaji keki Mtwara | Makala | DW | 27.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Makala

Vijana wajadili uwokaji keki Mtwara

Ungana na Salma Mkalibala akizungumza na vijana wa Mtwara ambao wameamua kujihusisha na utengenezaji na uuzaji wa keki. Wasikilize vijana hao wakieleza kilichowahamasisha kujiunga na biashara hiyo na jinsi lake lilivyo nchini Tanzania.

Sikiliza sauti 09:49