1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wajadili mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni Afrika Kusini

Salma Said5 Oktoba 2019

Vijana wa Zanzibar ni miongoni mwa raia wengi wa kigeni waloikwenda nchini Afrika Kusini kutafuta maisha, na kujikuta wakinasa katika machafuko yaliosababishwa na mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni nchini humo. Kutokana na mashambulizi hayo, Salma Said alikutana na vijana walioko nyumbani kuzungumzia mashambulizi hayo na iwapo bado wana ndoto ya kwenda Afrika Kusini. Makala ni Vijana Tugute.

https://p.dw.com/p/3QmKQ