1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na kilimo cha mbogamboga

19 Mei 2020

Kazi ni kazi bora mkono uendeke kinywani ndivyo wasemavyo vijana waliojikita kufanya kilimo cha bustani za mbogamboga kwenye eneo linalozunguka bwawa la Chuno manispaa ya mtwara mikindani, Mkoani Mtwara.

https://p.dw.com/p/3cTyU