1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utalii kuporomoka Tanzania?

30 Septemba 2016

Biashara ya utalii Tanzania unahofiwa huenda ikaathirika kutokana na kupandishwa kodi ya ongezeko la thamani (VAT). Utalii umekuwa ukichangia pato la taifa la nchi hiyo kwa asilima 17.5.

https://p.dw.com/p/2QmPt
Pundamilia
Picha: Claus Stäcker

RIPOTI YA KUPOROMOKA UTALII TANZANIA - MP3-Stereo