1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usiidharau shilingi

29 Septemba 2020

Ndio, usiidharau nguvu ya shilingi, kwa sababu hiyo ndio mwanzo wa hatua yako. Msikilize mrembo huyu alianza biashara yake na mtaji mdogo sana lakini hii leo hakamatiki. Anamiliki biashara kubwa ya juisi. #Kurunzi.

https://p.dw.com/p/3jAvP