Umeme warejea visiwani Zanzibar | Masuala ya Jamii | DW | 09.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Umeme warejea visiwani Zanzibar

Baada ya Kisiwa cha Zanzibar huko Tanzania kubakia kutokuwa na umeme kwa karibu miezi mitatu, jana jioni umeme ulirejea, lakini sio katika sehemu zote za kisiwa hicho.

Kuna sehemu kadhaa hadi sasa hazina umeme. Ukosefu wa umeme Kisiwani humo uliziathiri shughuli za kibiashara, hasa za utalii katika kisiwa hicho, wacha tena za kijamaa. Thelma Mwadzaya alizungumza na mwandishi wetu, Salma Said huko Unguja mjini, na kumuuliza vipi Wazanzibari wamepokea habari za kurejea umeme.... Mtayarishaji: Thelma Mwadzaya Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com