Ugumu wa maisha wapelekea Wanigeria kuandamana | Media Center | DW | 07.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ugumu wa maisha wapelekea Wanigeria kuandamana

Rais Donald Trump atetea sera zake za uhamiaji akisema magaidi wamepania kuishambulia Marekani, Mgombea urais Ufaransa Francois Fillon aomba radhi kuhusu sakata la mkewe kulipwa mshahara bila kufanya kazi, Wanigeria waandamana kupinga ugumu wa maisha huku Rais Buhari akiendelea kuugua.

Tazama vidio 01:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)