1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda kufunga akaunti za ya mashirika ya kiraia?

Rashid Chilumba / MMT3 Desemba 2020

Serikali ya Uganda inadaiwa kuamuru kufungwa akaunti za benki za karibu mashirika manne ya kiraia yanayojihusisha na kusimamia utawala bora na uchaguzi. Gazeti la Daily Monitor limesema mashirika hayo yanadaiwa kushirikiana na upinzani. Mchambuzi wa siasa wa Uganda Ally Mutasa alizungumza na Rashid Chilumba kuhusu hili, msikilize.

https://p.dw.com/p/3mA8c