Ufaransa yafunga kambi ya Calais | Anza | DW | 26.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Ufaransa yafunga kambi ya Calais

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, asema kambi ya wahamiaji ya Calais itafungwa kabla ya kipindi cha baridi kuanza. Colombia yatarajiwa kusaini mkataba wa amani kati ya waasi wa kundi la FARC na serikali. Na Waethiopia washinda mbio za marathon za mjini Berlin, Ujerumani. Papo kwa Papo 26.09.2016.

Tazama vidio 01:37
Sasa moja kwa moja
dakika (0)