Tzar mtoto aliyezaliwa na simba na chui | Media Center | DW | 03.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tzar mtoto aliyezaliwa na simba na chui

Je umewahi kumsikia mtoto aliyezaliwa na simba na chui? Tzar ambaye wazazi wake ni simba na chui, alizaliwa kutokana na kuwepo uhusiano kati ya simba dume na chui jike huko nchini Urusi. Baba yake anaitwa Ceser na mama yake anaitwa Princess the Tiger.

Tazama vidio 00:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)