Trump kutangaza bajeti kubwa zaidi ya kijeshi | Media Center | DW | 28.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump kutangaza bajeti kubwa zaidi ya kijeshi

Rais wa Marekani kutangaza bungeni bajeti yake ya kwanza ikiwa na ongezeko kubwa katika matumizi ya kijeshi,Nchini Chile mafuriko yazua balaa kubwa na huko Libya wakimbizi wanawake na watoto wakiafrika wateswa kwa kubakwa na kupigwa

Tazama vidio 02:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)