Theresa May atiwa adabu na wapiga Kura ila asema ataunda serikali | Media Center | DW | 09.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Theresa May atiwa adabu na wapiga Kura ila asema ataunda serikali

Wapiga kura wa Uingereza wamemtia adabu waziri mkuu Theresa May na chama chake cha Conservative kwa kuwapokonya wingi mkubwa bungeni,Mkurugenzi wa zamani wa FBI Comey aanika makubwa kuhusu vitisho vya Trump na Moto wa msituni wazua taharuki Afrika Kusini

Tazama vidio 02:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)