1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
BiasharaTanzania

Thamani halisi ya madini Afrika

Grace Kabogo
22 Februari 2023

Nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania kwa muda mrefu katika zimekuwa zikipoteza pesa nyingi kwa kuuza rasilimali ya madini mbalimbali kwa thamani ndogo katika soko la dunia hasa kutokana na watu wanaojihusisha na biashara hiyo kukosa elimu ya utambuzi wa thamani halisi ya rasilimali ya madini mbalimbali nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Np7o

Ungana na Deo Makomba katika Makala Yetu Leo, akiangazia hatua zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania ili kuhakikisha watu wanaojihusisha na biashara ya miamba ya madini wanapata uelewa kuhusu thamani halisi ya madini hayo.