1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaimarisha vita dhidi ya ujangili

7 Mei 2020

Baadhi ya wanyama wa porini wako katika hatari ya kutoweka duniani kutokana na ujangili. Miongoni mwa wanyama hao ni pamoja na vifaru na ndovu. Nchini Tanzania wadau katika sekta ya uhifadhi wa wanyama pori wanaimarisha mikakati kadhaa kukomesha kadhia hiyo.

https://p.dw.com/p/3cG4U