Tanzania kupambana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na wakimbizi | Matukio ya Afrika | DW | 30.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania kupambana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na wakimbizi

Serikali ya Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR wamekubaliana kuanza kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika kambi za wakimbizi huku wakimbizi wa Burundi walioko nchini humo wakitarajiwa kuanza kurejeshwa nyumbani Septemba 1,2019.

Sikiliza sauti 02:34