1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
2 Desemba 2018

https://p.dw.com/p/39HLz

Marekani imekubali kuahirisha ushuru kwa bidhaa za china kwa siku 90, huku mazungumzo ya kuepusha vita vya kibiashara baina ya nchi hizo yakiendelea. Viongozi wa dunia wameendelea kutuma rambirambi zao baada ya kifo cha rais wa zamani wa Marekani, George H.W. Bush. Watu zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika makabiliano baina ya waandamanaji wa vuguvugu la fulana za njano na polisi wa Ufaransa.