Somalia yachagua rais mpya | Anza | DW | 08.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Somalia yachagua rais mpya

Somalia yachagua rais mpya leo. Rais Donald Trump atetea hoja yake ya kupinga wahamiaji wa nchi 7 za Kiislam kuingia Marekani mbele ya mahakama ya rufaa nchini humo. Na Kapteni wa timu ya Bayern Munich Philipp Lahm, kujiuzulu kuchezea timu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Tazama vidio 01:32