1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shule yaleta faraja huko Same

10 Septemba 2018

Shule ya awali iliyojengwa na vijana kwa hisani ya Wajerumani katika kijiji cha Ishinde huko Same Kilimanjaro nchini Tanzania imeleta faraja na matumaini mapya kwa watoto na wakaazi wa kijiji hicho.

https://p.dw.com/p/34cjh