Sheikh Ponda Issa bado anashikiliwa na polisi Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 14.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Sheikh Ponda Issa bado anashikiliwa na polisi Tanzania

Katibu wa Shura ya Maimamu nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda bado anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi. DW imezungumza na Sheikh Musa Kundecha, Amir wa Shura ya Maimamu Tanzania na ameanza kwa kueleza habari za karibuni kuhusu Sheikh Ponda.

Sikiliza sauti 02:52