Shambulio lililoendeshwa na Palipehutu FNL nchini Burundi | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Shambulio lililoendeshwa na Palipehutu FNL nchini Burundi

Nchini Burundi watu 11 wameuwawa katika shambulio lililoendeshwa na wapiganaji wa Palipehutu FNL dhidi ya kituo cha Gakungwe trarafani Ruziba kusini mwa Bujumbura, kuliko na kituo kilowapa hifadhi wapiganaji 350 wa kundi hilo waliouasi uongozi wa Agathon Rwasa.

Shambulio hilo limeisibu Burundi wakati ikiadhimisha mwaka wa 14 tangu kuuwawa Rais mteule Melchior Ndadaye.

Maelezo kamili na mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com