1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania yaainisha vipaumbele katika bajeti

15 Juni 2022

Serikali ya Tanzania imeainisha vipaumbele kadhaa katika bajeti iliyowasilishwa bungeni Jumanne na waziri Mwigulu Nchemba, ikilenga kuimarisha sekta za uzalishaji lakini pia kufufua uchumi. Sylvia Mwehozi amezungumza na Walter Nguma, mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka Tanzania ambaye kwanza anaanza kwa kutoa tathmini yake juu ya vipaumbele hivyo na jinsi vitakavyomsaidia mwananchi.

https://p.dw.com/p/4CjDI