1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume-Mipango App muhimu kwa bajeti yako

6 Oktoba 2020

Katika kipindi cha Sema Uvume, utasikia habari za Mipango App programu inayokuwezesha kufanya matumizi mazuri ya fedha kwa maendeleo yako. Zaidi msikilize Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3jUGC