Rais Museveni avunja kimya chake kuhusu maandamano mjini Kampala. | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais Museveni avunja kimya chake kuhusu maandamano mjini Kampala.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameapa kuwachukua hatua kali waandamanaji waliotiwa mbaroni wiki iliyopita kufuatia maandamano mjini Kampala yaliyosababisha vifo vya watu 14.

default

Raais Yoweri Museveni wa Uganda.

Rais Museveni alisema hayo bungeni kufuatia kikao maalum alichoitisha kuzungumzia kuhusu maandamano hayo Karibu watu 600 walitiwa mbaroni na zaidi ya 200 kati yao kufunguliwa mashtaka,kufuatia maandmano yaliyochochewa na hatua ya serikali kumzuia mfalme wa Wabaganda Ronal Muwenda Mutebi wa pili kuzuru kaskazini mashariki mwa mji wa Kampala mwishoni mwa wiki iliyopita.Hivi punde nimezungumza na mwandishi wetu wa mjini Kampala leila Ndinda na kwanza anaelezea kilichokuwemo katika hotuba hiyo ya rais Museveni aliyotagazwa kwa taifa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 15.09.2009
 • Mwandishi Jane Nyingi/ AFPE..Picha AFP
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JhJU
 • Tarehe 15.09.2009
 • Mwandishi Jane Nyingi/ AFPE..Picha AFP
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JhJU

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com