1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Magufuli akosolewa namna anavyoshughulikia corona

4 Mei 2020

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, kwa mara nyingine amezungumzia masuala mbalimbali zikiwemo jitihada za serikali yake kukabiliana na janga la virusi vya corona. Rais huyo amekuwa akikabiliwa na ukosoaji wa ndani na nje ya taifa hilo wa namna anavyokabiliana na janga hilo. Sikiliza mahojiano ya Sudi mnette na mchambuzi wa siasa kutoka Mwanza Dk. Markus Albanie kuhusiana na hilo

https://p.dw.com/p/3bkTi