Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akubali kujiuzulu | Media Center | DW | 13.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akubali kujiuzulu

Sikiliza taarifa rasmi ya chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) ikithibitisha uamuzi wake wa kumfukuza kazi Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma. Papo kwa Papo 13.02.2018.

Tazama vidio 00:29