Polisi Zanzibar: Hakuna amri ya kumkamata Maalim Seif | Matukio ya Afrika | DW | 29.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Polisi Zanzibar: Hakuna amri ya kumkamata Maalim Seif

Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa jeshi hilo linapanga kumkamata Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Sikiliza sauti 03:00

Kamanda wa polisi Mkadam Khamis Mkadam katika mahojiano

Taarifa za kwenyer mitandao zinasema Maalim Seif anatakiwa kukamatwa kwa tuhuma zinazohusiana na kujitangazia ushindi katika uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 kama inavyoshinikizwa na Chama cha Mapinduzi Zanzibar.
Isaac Gamba amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishina Mkadam Khamis Mkadam, ambaye anafafanua zaidi juu ya taarifa hizo. Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com