1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ntiamukama apigania usawa kwa watoto Tanzania

23 Julai 2020

Mwanaharakati Bonita Ntiamukama kutoka shirika lisilo la kiserikali la Faida Wote Pamoja, FAWOPA, anatafuta watoto wanaotokea kwenye mazingira magumu na mayatima na kisha kuwapatia msaada wa kiushauri, matibabu, vifaa vya shule na wakati mwingine hata fedha pale inapohitajika.

https://p.dw.com/p/3fmR6